Live Updates: Mtibwa Sugar akirambishwa dawa na Simba SC, U/Uhuru

Live Updates: Mtibwa Sugar akirambishwa dawa na Simba SC, U/Uhuru

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Wakuu na wapenda soka wote

Mnyamba Mkali Simba Nguvu Moja kwa mara nyingine leo tena inashuka uwanjani ku-test mitambo. Safari hii inacheza na Mtibwa Sugar leo uwanja wa Taifa

Msimulizi wako nitakuletea yanayojiri

Boko....Okwiiiiiiiiiii goooooooool Simba 1

FT:Simba 1-Mtibwa 0

My Take
Simba strikers mnaanza kuniudhi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mambo yote uwanja wa Kinesi ndondi cup kumekucha balaa, tune in Azam sport HD live
 
Back
Top Bottom