Live Updates: Mwadui Vs Yanga SC (Deportivo La Utopolo?

Live Updates: Mwadui Vs Yanga SC (Deportivo La Utopolo?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
102400079_3100119430009435_2911906494549699053_n.jpg

Leo saa 10 uwanja wa CCM Kambarage kitanuka. Yanga itakuwa ikilinda heshima yake kwa Mwadui.

Ninachongea hapa uwanja wa Kambarage kuwaletea moja kwa moja live updates

====
Yanga SC ameibuka na ushindi wa bao moja kwa sifuri dhidi ya Mwadui FC, bao likifungwa na Balama Mapinduzi dakika ya sita kwa pasi safi ya Deus Kaseke katika Uwanja wa Kambalage Mkoani Shinyanga.
 
Laliga wanaongoza moja bila japo mechi ni kali sana.
 
65' Utopolo 1
 
Attachments

  • 103995181_280070559856152_5487343557735526149_n.jpg
    103995181_280070559856152_5487343557735526149_n.jpg
    22.1 KB · Views: 2
  • 103995181_280070559856152_5487343557735526149_n.jpg
    103995181_280070559856152_5487343557735526149_n.jpg
    22.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom