Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Tumeshinda sasaHapo Kambarage sio parahisi sana kwa Yanga.. Laliga Santander inaenda kuabika tena.
FT
MWADUI 0 YANGA 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeshinda sasaHapo Kambarage sio parahisi sana kwa Yanga.. Laliga Santander inaenda kuabika tena.
Najua ulitaka Yanga ifungwe ila poleeeeeView attachment 1477236
Leo saa 10 uwanja wa CCM Kambarage kitanuka. Yanga itakuwa ikilinda heshima yake kwa Mwadui.
Ninachongea hapa uwanja wa Kambarage kuwaletea moja kwa moja live updates
Mwadui 0 Yanga 1Matokeo vp
Hawa yebo matokeo yao ngapi ngapi!?
Kizembe tuMwadui chapa hao Deportivo la utopolo bao 2.
Ona huyu [emoji23][emoji23]Mwadui mshono si mnaujua ulipo pigeni pallepale kwenye mshono.
Mwadui 0 Yanga 1
Bahati yake nilikosa bando ningeufunguaShukrani mkuu kwa kufungua uzi maana wenyewe wanaiogopa timu yao hawana imani nayo
[emoji196][emoji196][emoji196]
Utopolo fc!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera Mtani japo kinafki[emoji16]
Kama kawaida yetuBila shaka Yanga atachukua point zote tatu muhimu.
cc Molinga
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Bahati yake nilikosa bando ningeufungua
Ushindi wenu wa kubahatisha game imekwisha ndio mnatokezaWachawi hamkosekani
Sasa si ndio mzungu wake kaamue...sisi tusemeje??Kocha wa Yanga ni kama vile ana bifu na Molinga. Anamuingiza dk 89 akafanye nini? Si bora angemuacha Dar tu.
Cha kuku hicho, mwanaume anapiga viwili na kuendeleaTumeshinda sasa
FT
MWADUI 0 YANGA 1
Kimoja ndio lakini mayai kama yoteCha kuku hicho, mwanaume anapiga viwili na kuendelea
2 _ 2