OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Naam!utupe hali ya uwanja na tahadhari imechukuliwaje kujilinda na Corona mkuu.View attachment 1477236
Leo saa 10 uwanja wa CCM Kambarage kitanuka. Yanga itakuwa ikilinda heshima yake kwa Mwadui.
Ninachongea hapa uwanja wa Kambarage kuwaletea moja kwa moja live updates
haaa haaaa mshono uko sehemu mbayaMwadui mshono si mnaujua ulipo pigeni pallepale kwenye mshono.
Mwadui anakufa mbili uchiView attachment 1477236
Leo saa 10 uwanja wa CCM Kambarage kitanuka. Yanga itakuwa ikilinda heshima yake kwa Mwadui.
Ninachongea hapa uwanja wa Kambarage kuwaletea moja kwa moja live updates
Kwani mpaka sasa ni ngapi ngapi?Mwadui anakufa mbili uchi
1_uchiKw
Kwani mpaka sasa ni ngapi ngapi?
Hawa yebo matokeo yao ngapi ngapi!?Utopolo kama kawaida yao wanaibuka wakishapata bao la kuongoza
Wachawi hamkosekaniKila la heri Mwadui