OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #21
Timu zinaingia uwanjani sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikia inagongwa nyuma pale goooooo hayana akili aisee mikiaaa kweli wanagongwa nyuma na mpiraView attachment 1743143
Nkana Fc wakipasha nje ya uwanja
Muda wa mechi umefika lakini hakuna timu uwanjani. Nkana FC wamegoma kupima Covid 19 wakidai wameshapimwa kwao.
Tunaendelea kusubiri
yan utafikiri wanacheza ligi daraja la kwanza,, pira boooovuSometimes mpira wa Afrika hata wa level za juu kabisa hautofautiani na ndondo cup.
Caf wanapima covid wenyewe hawapimiwi na nchi husika.Inawezekana hapa tz tuna mchezo mchafu zuihujumu timu ngeni kupitia kivuli cha covid test? Maana hata kocha wa vita ni kama alilalamika jana dhidi ya simba
Mkuu kiingereza unajua kweliInawezekana hapa tz tuna mchezo mchafu zuihujumu timu ngeni kupitia kivuli cha covid test? Maana hata kocha wa vita ni kama alilalamika jana dhidi ya simba
Mkuu nikupe namba ya ras simba? Ni wazi ibenge hukumuelewa.Inawezekana hapa tz tuna mchezo mchafu zuihujumu timu ngeni kupitia kivuli cha covid test? Maana hata kocha wa vita ni kama alilalamika jana dhidi ya simba
Najua na ndio maana nimegundua kwanini umeuliza-...hapa mimi nilitype covid lkn simu hii inafanya ile pre word suggestMkuu kiingereza unajua kweli