Live Updates: Namungo FC Vs Nkana FC,Uwanja wa B.Mkapa

Daaaah anakosa nafasi ya wazi Sey.. Inakuwaje tena...!
 
Kikosi cha Namungo FC Kinachoanza

Wawakilishi wa Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika
 
45+2'

Kuelekea kuwa mapumziko uwanja wa Mkapa | CAFCC

Hatariiiii lango la Namungo ooooh looo, wanakoswa bao hapa sekunde chache kuelekea HT.

Naaaam mpira ni mapumziko ambapo hakuna timu imeweza kusalimia lango la mwenzake.

CAFCC, HT; Namungo FC 0-0 Nkana FC
 
Hivi Namungo si kashapoteza game zake zote?
 
65' CAFCC

Milango bado ni migumu kwa pande zote, huku mashambulizi yakiendelea

Namungo FC 0-0 Nkana FC
 
Hata hivyo Naona simba bado hawajaondoa vitu vyao kwenye magoli.uwanjani jamaa wanakosa magoli ya wazi kabisa
Nasikia kesho jtatu ndio wataondoa
Wanajaribu kuwasadia wazee wa pira korosho
 
68' Gooooooaaal...

Nkana FC wanaandika bao la kwanza kupitia kwa Diamond Chikwekwe

Namungo FC 0-1 Nkana FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…