Live Updates: Namungo FC Vs Nkana FC,Uwanja wa B.Mkapa

85' Nkana FC wapo mbele kwa bao moja huku matumaini yakiwa hafifu kwa Namungo kusawazisha

Namungo FC 0-1 Nkana FC
 
Washambuliaji wa Namungo FC wanakosa utulivu wakiwa Karibu na lango la Nkana

Hii ni ishara ya kupoteza mchezo wa leo

Sey atajilaumu na kujutia ile nafasi ya wazi aliyekosa
 
90+3'

Kuelekea kumalizika kwa mchezo wa leo wa CAFCC

Free Kick kuelekea Nkana.. Nafasi kuweza kusawazisha ngoja tuone, dakika za lala salama.

Inapigwaaaa Oooooooh, golikipa wa Nkana anadaka

Naaaam mpira umekwishaaa ambapo Nkana FC wameibuka na ushindi wa bao moja kwa bila likifungwa na Diamond Chikwekwe dakika ya 68'

CAFCC, FT; Namungo FC 0-1 Nkana FC
 
Namungo hatashinda mechi au kutoa draw
 
Namungo kwa hilo kundi hakuna watakachopata.
 
Hawa Namungo bado watoto, wakamilishe tu ratiba
 
Hawa Namungo bado watoto, wakamilishe tu ratiba
Tuwapongeze mpaka hapo walipofika tokea kua timu ya kijiji,tarafa,wilayani,mkoa,kanda,ligi daraja la pili,la kwanza,azam federation cup ,Vpl na sasa kutuwakilisha africa
Zaidi wajipange timu ipate ufadhiri na usajili na walimu wazuri
Hongera sana kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…