Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Wadau hapa tutapata Live Update za Pambano la Yanga na waarabu kutoka Tunisa Pambano hili litakuwa hewani leo saa 3 usiku kwa saa za afrika mashariki na ya kati. hapa ndipo tutakata mzizi wa fitina baada ya dk 90 au 120 za kusukuma gozi. Matangazo haya yamewajia kwa hsiani ya Watu wa JAMII FORUMS. Kwa ushirikiano mkubwa na wadhamini wetu...


dk ya 35 ETOILE 1 SISI(YANGA) 0


MPIRA UMEKWISHA MIARABU IMESHINDA MOJA 1.. SISI YANGA 0 ..... HII MIJAMAA NEXT TIME TUIITIE SIMBA TU. YANGA TURUDI KUJIPANGA KWA MAKOMBE YA HAPA HAPA AFRICA MASHARIKI NA BONGO.
 
Lakini mianzisha mada mbona heading yako ipo ka vile unaombea yanga apigwe tu
 
Mi mshabiki wa yanga ila roho juu juu
Hakuna kuogopa sisi wanayanga tumetoka mbali matokeo yoyote yasituvunje nguvu, umoja na dua za watanzania wote kasoro wale walioko nafasi ya tatu.yanga imesimama imara.

 
Lakini mianzisha mada mbona heading yako ipo ka vile unaombea yanga apigwe tu

Hakuna mikia anayeombea mazuri Yanga, wanadai wameishi kwa shida sana na sasa saa ya ukombozi imewadia.

Yanga tunasema: Tutapambana hadi dakika ya mwisho, ee Mungu saidia Yanga ishinde, amina.
 
Yule mwanga wa asubuhi alikuwa anaombea Yanga ifungwe naona ki-post chake kimefutwa. Sikioni humu. Lolote litakalotokea Yanga Daima Mbele!
 
Tunisia piga yanga waje kunywa maji huku tz
 
Haya sasa wanaume wako kazini...
Mungu ibariki Young Africans!
 
Yanga wanacheza mpira mzuri tu, dakika ya 15 bado 0-0
 
Back
Top Bottom