Ni lini nilikuwa mkali Mkuu?
#teamSimba laiti mngeipata hii nafasi msingetuaibisha
hata kama wangebaki wawili na yanga wabaki 11 bado hamna uwezo
jamaa zako walikuwa wanasubiri embe lidondoke kwenye mnazinipe matokeo...
mkuu GuDume update thread yako au upo hindumandal presha imepanda ?
manji anasema tutakata rufaa CAF.
Kiko wapi sasa,kelele nyingi mbele giza
back to the topic MkuuMkuu mna muda gani hamshiriki mashindano ya kimataifa?
Nadhani Simba walisha sahàu kama wanawajibu huo!!