yebo bado tu hamjafunga?
Kweli tunapona au ndo tunaishia hapa?
Wanataka wafungiwe na goli, hawabebeki, refa mganda lawabeba ila ndo hivyo tena!
manji kawazoesha vibaya kununua game.
Hii ngoma huenda ikafika dk120 maana Yanga wana nafasi kubwa sana ya kupata bao sasa hivi.
Mungu Ibariki yanga ishinde leo