Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

Tuone Javu atakuja na lipi jipya...
Sherman katoka...
 
waarabu wanapoza mpira na kufunga njia,tatizo yanga wanakosa njia mbadala
 
Tambwe anapiga shuti mtoto...linaishia kwa kipa
 
dk ya 26 Yanga wajitahidi kusaka bao.
 
Yanga bureeee kabisa, mtu tisa lwa kumi tena mtu muhimu katolewa ila bado jasho mpaka lwenye meno, kweli nimeamini kununua mechi kunalemaza!
 
Back
Top Bottom