Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

Habari yako, leo unaonekana mnyonge. Kubali tu matokeo kuwa leo ni kazi ngumu kuwapiga waarabu kwao

Habari yangu nzuri, vipi wewe Katavi?

No retreat no surrender!
 
Last edited by a moderator:
mamaee yanga wamecheze bonge la mpira am so impressed! God bless Tanzania tunashinda 2.1 mark my word guys
 
nifah uwezekano wa kushinda upo hasa kwa kuwa watunisia wamepungua sasa wapo 10 sisi 11.
 
Last edited by a moderator:
Mpira tuache maskhara wamecheza, alafu yule mashine ya etoile imetolewa
 
Jamaa wanaweza kuja kivingine kipindi cha pili
 
Kiukweli Yanga wamecheza vizuri sana kipindi cha kwanza, tusubiri cha pili
 
mkuu, wewe unaipata? mimi leo imegoma kabisa inasema server iko usingizini!!
Pole mkuu naona server yako bado Ina hang over ya White party .Tulia humuhumu JF utajuzwa
 
Mchezaji aliyepewa red card ni beki au?
Wasiwasi ni majamaa kupaki basi kipindi cha pili halafu yanga wawe makini refa anaweza kutoa red card kusawazisha game

Nafikiri ni kiungo yule kama sio foward...ni yule jamaa mweusi

Jamaa wanakaba tokea mpira uanze...
 
Back
Top Bottom