Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Mkuu si unaoana mwneyewe tunavyosukuma gozi kilichosalia ni kutupia mpira wavuni.
Red card kwa ESS, nafasi kwetu kusawazisha sasa.
Hiyo nafasi ni ya kuitumia vizuri aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu si unaoana mwneyewe tunavyosukuma gozi kilichosalia ni kutupia mpira wavuni.
Red card kwa ESS, nafasi kwetu kusawazisha sasa.
mlitepeta taifa mtaweza away,acheni ndoto za kuota unatembeaYanga atashinda
Kaka Yanga anacheza vizuri tuwe wakweli...
Kama akifungwa na kutoka ni sehemu ya mpira ila sio kuwa kazidiwa...
pamoja na kejeli za Jer Muro?Mimi ni Simba ila nawatakia watani zangu kila la kheri!
TAIFA KWANZA!!!
Mimi sina wasi wasi najua yanga tutashinda tu
Kumaa la mamayao watunisia wanacheza rafu za kipumbavu
Mapumziko lakini Ganga amecheza vizuri...
pamoja na kejeli za Jer Muro?
Asante!
Duu yanga wanacheza kama man u