Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

Kumaa la mamayao watunisia wanacheza rafu za kipumbavu
 
Mapumziko lakini Ganga amecheza vizuri...
 
Half time bado 1-0. Ni kweli yanga wanacheza mpira mzuri, na wanajituma sana.
 
Afadhali Yanga ashinde kwani hakuna pole itakayonitosha akifungwa ukizingatia MUFC ndiyo hivyo tena na Myweather Jr akapigwa LOL!
 
Mchezaji aliyepewa red card ni beki au?
Wasiwasi ni majamaa kupaki basi kipindi cha pili halafu yanga wawe makini refa anaweza kutoa red card kusawazisha game
 
Huyo aliyelimwa hiyo kadi ni beki au mshambuliaji wakuu?
 
Back
Top Bottom