LIVE Updates: Rumble in Dar Season 2

Round ya 4 ishaanza hapa.
ngoja tuone inakuwaje sasa.
 
Imani anajitahidi kulinda uso wake.
It is real heavy weight.
 
Sio mchezo ndugu wana Jf wenzangu.

Ufupi wa Mtz unampa tabu kidogo.
 
Round ya 6 na ya mwisho kwa Mchezo huu sasa
 
Mwisho wa wa Round ya 6 katika Shindano hili la 4 kati ya MtanzaniA Iman Daudi Kaway Vs Msouth Chris Thomson.
 
Hamuangalii usoni Chris anadundwa aah, ila naye ana nyama uzembe hadi kitambi kimeanza angepumzika tu hii michezo, twende kazi sasa ..... the next pambano...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…