LIVE Updates: Rumble in Dar Season 2

Back here...
Sasa ni Round ya 7 Shindano la 6 hili kutoka hapa moja kwa moja.
Vijana hawa wanajitahidi sana ni piga nikupige
 
Mwisho wa Raundi ya Saba.
Naona kama vijana walitoshana nguvu kabisa hapa.

Si mchezo natamani Mtz ashinde kwa kweli.
Raundi ya 8 ishaanza hapa, Bado Ibra anajitahidi tunajaribu kupiga kelele hapa kumshangiliA Ibra.

Inaonekana amechoka, yapi maejitahidi Ibra hapa
 
Raundi imemlizika hapa ngoja tusikie matokeo wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ