Live Updates: SimbA SC - Mwadui FC, Uwanja wa Uhuru

Ukiachana na hawa Biriani, hivi Timu ya Wananchi inacheza dhidi ya Biashara United lini! Leo Jmosi au kesho Jpili?

Maana itakua ni dhambi kubwa sana kuangalia mechi ya Biriani Fc vs Mwadui Fc. Naombeni majibu tafadhali. Sipo karibu na tv kwa muda sasa.
 
Inachezwa Leo mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…