Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
- #21
Sisi hatuna tabia za uto.Musikimbiane baadae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi hatuna tabia za uto.Musikimbiane baadae
Hapo kene Chama Tawala, inategemea cha nchi gani.
Hapo sawa, nikajua USAHa ha ha TZ boss
Sisi hatuna tabia za uto.
Mkuu usituchukulie poa, tupo makini sana msimbazWeek ya pili sasa munatususia nyuzi humu.
Kuanzisha post munaongozaga, ila amuchelewi kutoka nduki.
Kabisa, sio kwamba twende pamoja ?!Leo ushindi mapema Sana.[emoji3578]ntarud Tena baada ya ushindi.
Mkuu, CEO bora kuwahi kutokea, mrembo wetu yuko makiniUshindi wenu itategemea na Barbara kaamkaje, akiwa mwezini hamshindi ng'o!
Ushindi wenu itategemea na Barbara kaamkaje, akiwa mwezini hamshindi ng'o!
Ha ha ha ha ha ha hA.Ha ha ha ,.blaza naona una utan wa Kim jong un na trump
Uoga tu,Nitarudi baada ya mechi
Inachezwa Leo mkuu,Ukiachana na hawa Biriani, hivi Timu ya Wananchi inacheza dhidi ya Biashara United lini! Leo Jmosi au kesho Jpili?
Maana itakua ni dhambi kubwa sana kuangalia mechi ya Biriani Fc vs Mwadui Fc. Naombeni majibu tafadhali. Sipo karibu na tv kwa muda sasa.
Duh! Nashukuru sana mkuu. Wacha niwahi kwenda kwenye kibanda umiza nikawaangalie hao wanaoitwa "Kazelona"Inachezwa Leo mkuu,
Mapacha wa Kariakooo, wote wanacheza saa kumi kamili.Duh! Nashukuru sana mkuu. Wacha niwahi kwenda kwenye kibanda umiza nikawaangalie hao wanaoitwa "Kazelona"