Wewe Yanga huna hadhi ya kuongea na sisi. Sisi size yetu kina TP Mazembe na Esperance,Naona mabodaboda wanarukaruka tu
Kwani fair play in faida gani? Mihimu point tuKati ya timu 20 zinazoshiriki ligi kuu msimu huu, Simba (ambayo imeshatangazwa kuwa bingwa kwa mara ya pili mfululizo) inashika nafasi ya 20 (nafasi ya mwisho) kwenye kipengele cha "fair play"
Wanaogopa, hapo game ikigairishwa simba ataonekana anabebwa, so yaani saivi kila refa anaogopa kuchezesha game ya simbaMchezo huu haukutakiwa kuchezwa kabisa. Yaaani uwanja unaharibiwa na maji wachezaji wanashindwa kucheza vizuri ni madimbwi tupu na wahusika wapo na wanaona hali hii na wapo kimya.
Kwani fair play in faida gani? Mihimu point tu
Kivip ndg fafanuaNaona Adam Salamba katemwa rasmi
Adam sikuwa na imani naye toka mwanzo. Atafute size yake
Nadhani vyura sports a.k.a chaumbeya fc Yanga watamfaa ili akuze kipaji kama Ajib.Tatizo benchi ndo linamlostisha dogo
Nadhani vyura sports a.k.a chaumbeya fc Yanga watamfaa ili akuze kipaji kama Ajib.
Bora aende huko akaogelee
Alisikika Mlevi mmoja akisema.Kati ya timu 20 zinazoshiriki ligi kuu msimu huu, Simba (ambayo imeshatangazwa kuwa bingwa kwa mara ya pili mfululizo) inashika nafasi ya 20 (nafasi ya mwisho) kwenye kipengele cha "fair play"
Fair play ipi unaisema?Kati ya timu 20 zinazoshiriki ligi kuu msimu huu, Simba (ambayo imeshatangazwa kuwa bingwa kwa mara ya pili mfululizo) inashika nafasi ya 20 (nafasi ya mwisho) kwenye kipengele cha "fair play"
Kwan mechi imeishajeUwanja hauna drainage system kabisa, nawaza hali hii ingekuwa juzi na Sevilla ingekuwa aibu kubwa kwa nchi
Kwan mechi imeishaje