Live Updates: Simba SC Vs Biashara,Simba kukabidhiwa kombe

Live Updates: Simba SC Vs Biashara,Simba kukabidhiwa kombe

Kati ya timu 20 zinazoshiriki ligi kuu msimu huu, Simba (ambayo imeshatangazwa kuwa bingwa kwa mara ya pili mfululizo) inashika nafasi ya 20 (nafasi ya mwisho) kwenye kipengele cha "fair play"
 
Kati ya timu 20 zinazoshiriki ligi kuu msimu huu, Simba (ambayo imeshatangazwa kuwa bingwa kwa mara ya pili mfululizo) inashika nafasi ya 20 (nafasi ya mwisho) kwenye kipengele cha "fair play"
Kwani fair play in faida gani? Mihimu point tu
 
Mchezo huu haukutakiwa kuchezwa kabisa. Yaaani uwanja unaharibiwa na maji wachezaji wanashindwa kucheza vizuri ni madimbwi tupu na wahusika wapo na wanaona hali hii na wapo kimya.
Wanaogopa, hapo game ikigairishwa simba ataonekana anabebwa, so yaani saivi kila refa anaogopa kuchezesha game ya simba
 
Kwani fair play in faida gani? Mihimu point tu

Mchezo wa mpira wa miguu unahamasisha wadau wake wawe waungwana yaani "fair". Hata kama umebakia peke yako mbele ya goli la mpinzani, iwapo utagundua kuna mchezaji wa timu pinzani ameumia, unatakiwa utoe mpira nje. Hiyo ndiyo fair play inayohubiriwa na FIFA siku zote.
 
Mashabiki wa tanzania tunajifanyaga wajuaji, kati hata sheria za mpira hatujui kabsa, hili shetani litatutesa sana, tulipinge shetani la ujuaji kati akilini ni zero
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Maneno ya mkosaji sis ndo wa kwanza kumtaka wajafuatia Azam nai wakaonyesha nia sijui mlitokea wapi na misifa yenu mkamshikia akili dogo,akashawishika akaja huko sasa wacha akili imkae sawa ombaomba huyo.....
Nadhani vyura sports a.k.a chaumbeya fc Yanga watamfaa ili akuze kipaji kama Ajib.

Bora aende huko akaogelee
 
Kati ya timu 20 zinazoshiriki ligi kuu msimu huu, Simba (ambayo imeshatangazwa kuwa bingwa kwa mara ya pili mfululizo) inashika nafasi ya 20 (nafasi ya mwisho) kwenye kipengele cha "fair play"
Alisikika Mlevi mmoja akisema.
 
Kati ya timu 20 zinazoshiriki ligi kuu msimu huu, Simba (ambayo imeshatangazwa kuwa bingwa kwa mara ya pili mfululizo) inashika nafasi ya 20 (nafasi ya mwisho) kwenye kipengele cha "fair play"
Fair play ipi unaisema?
Yani Yanga mnasahau kua nyie ndo wazee wa ndondi uwanjani?
Kweli mmekua ka mwanamke mbeya,Yeye ya kwake hayaoni anaona ya mwenzie tu.
 
Soka la bongo..... anyway hongera Mnyama kwa kutwaa ubingwa!
 
Back
Top Bottom