OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kikosi cha Simba SC dhidi ya Biashara United
Mchezo unapigwa saa 9 alasiri Uwanja wa Taifa. Simba tutakabidhiwa rasmi ndoo ya ubingwa wa nchi na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Kangi Lugola
Updates
FT Simba 1-Biashara 1
Kombe halijakabidhiwa baada ya mgeni rasmi kupata udhuru