Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Upo sawa mkuuKichuya msimu huu anaweza kutupia goli 30!
Mbao anaweza kula 10Simba hii haizuiliki, ndivyo waweza kusema.. Na hii ni baada ya leo kuendelea na utaratibu aliojiwekea wa kugawa dozi kwa kila anayekutana nae. Leo ilikua ni zamu ya wakata miwa wa Kagera, na hii ni baada ya kuwatafuna kisawasawa.
Hadi refa anapuliza kipyenga cha kumaliza mpira.. Simba imeibuka mshindi kwa kuwafunga wakata miwa wa Kagera goli mbili kavu. Wafungaji walikua Shiza Kichuya Mabao na Muzamir Yasin.
20.10.2016 itakua ni zamu ya Mbao FC kupimiwa dozi yao katika uwanja wa Kirumba jijini Mwanza.
SIMBA SPORTS CLUB.. NGUVU MOJA
Simba hii haizuiliki, ndivyo waweza kusema.. Na hii ni baada ya leo kuendelea na utaratibu aliojiwekea wa kugawa dozi kwa kila anayekutana nae. Leo ilikua ni zamu ya wakata miwa wa Kagera, na hii ni baada ya kuwatafuna kisawasawa.
Hadi refa anapuliza kipyenga cha kumaliza mpira.. Simba imeibuka mshindi kwa kuwafunga wakata miwa wa Kagera goli mbili kavu. Wafungaji walikua Shiza Kichuya Mabao na Muzamir Yasin.
20.10.2016 itakua ni zamu ya Mbao FC kupimiwa dozi yao katika uwanja wa Kirumba jijini Mwanza.
SIMBA SPORTS CLUB.. NGUVU MOJA
kama Simba ni wakawaida Mwadui, yanga utaziweka kundi gani?Simba ni wa kawaida sana kuliko tambo zao
Yes the next victim is Mbao FC Uhuru Stadium Darkumbukumbu zangu zinaonyesha mchezo huo namba 84 utakaopigwa tarehe 20.10.2016(Thu) zidi SIMBA SC Vs MBAO FC utafanyika uwanja Wa Uhuru kwamaana Simba ndiyo mwenyeji
Shukrani Mkuu kwa kuweka kumbukumbu sawia.kumbukumbu zangu zinaonyesha mchezo huo namba 84 utakaopigwa tarehe 20.10.2016(Thu) zidi SIMBA SC Vs MBAO FC utafanyika uwanja Wa Uhuru kwamaana Simba ndiyo mwenyeji
Kumbukumbu zangu zinaonyesha hadi sasa Simba imefungwa magoli matatu tu, likiwemo lile goli hewa la Tambwe.Ndiyo Mkuu.. Tumefungwa magoli 4 tu [ila kiuhalisia ni matatu.. na hii ni baada ya kutoa goli hewa la Tambwe]
Simba ni wa kawaida sana kuliko tambo zao
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hivi hamna utaratibu wa simba apewe kombe lake tu izi gharama zipelekwe uko kwenye wahanga mana hamna namna
unadhani hili ni kombe la bonanza?watu hawabishani na nyie sa hivi kuogopwa kutupiwa viti[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mmesahau kuwa hata nyie mlingoa viti na picha zipo huku humu JF na je umesahau kuwa mlingoa viti siku mlipocheza na TP Mazembe? mmesahau kuwa mlimpiga Ezael Mkongo kwenye mechi yenu zidi ya Azam FC? usiandike kama umekatwa kichwa utaumbuka...unadhani hili ni kombe la bonanza?watu hawabishani na nyie sa hivi kuogopwa kutupiwa viti
hapo ulipokaa hakuna kiti?Mmesahau kuwa hata nyie mlingoa viti na picha zipo huku humu JF na je umesahau kuwa mlingoa viti siku mlipocheza na TP Mazembe? mmesahau kuwa mlimpiga Ezael Mkongo kwenye mechi yenu zidi ya Azam FC? usiandike kama umekatwa kichwa utaumbuka...
hahahaha...Mbereko FC aka Vyura FC MNA vituko sana.hapo ulipokaa hakuna kiti?