Live Updates: Simba vs Kagera Sugar - Oktoba 15, 2016

Live Updates: Simba vs Kagera Sugar - Oktoba 15, 2016

Sifa Moja Ya Shetani Ni Kukataa Ukweli na Katu Haukubali Ukweli..

Na Ukweli Usiopingika Ni Kwamba SIMBA SC ndiye Bingwa Wa Msimu Huu..

Kwahiyo "YEYOTE ANAEKATAA SIMBA KUWA BINGWA MSIMU HUU! HUYO NI SHETANI"..
 
Simba hii haizuiliki, ndivyo waweza kusema.. Na hii ni baada ya leo kuendelea na utaratibu aliojiwekea wa kugawa dozi kwa kila anayekutana nae. Leo ilikua ni zamu ya wakata miwa wa Kagera, na hii ni baada ya kuwatafuna kisawasawa.

Hadi refa anapuliza kipyenga cha kumaliza mpira.. Simba imeibuka mshindi kwa kuwafunga wakata miwa wa Kagera goli mbili kavu. Wafungaji walikua Shiza Kichuya Mabao na Muzamir Yasin.

20.10.2016 itakua ni zamu ya Mbao FC kupimiwa dozi yao katika uwanja wa Kirumba jijini Mwanza.

SIMBA SPORTS CLUB.. NGUVU MOJA
Mbao anaweza kula 10
 
kumbukumbu zangu zinaonyesha mchezo huo namba 84 utakaopigwa tarehe 20.10.2016(Thu) zidi SIMBA SC Vs MBAO FC utafanyika uwanja Wa Uhuru kwamaana Simba ndiyo mwenyeji
 
kumbukumbu zangu zinaonyesha mchezo huo namba 84 utakaopigwa tarehe 20.10.2016(Thu) zidi SIMBA SC Vs MBAO FC utafanyika uwanja Wa Uhuru kwamaana Simba ndiyo mwenyeji
Yes the next victim is Mbao FC Uhuru Stadium Dar

19.10. 15:00 African Lyon Majimaji

19.10. 15:00 Azzam Mtibwa Sugar

19.10. 15:00 Ndanda Mbeya City

19.10. 15:00 Ruvu Shooting Mwadui

19.10. 15:00 Tanzania Prisons Stand U.

19.10. 15:00 Toto Africans Young Africans

20.10. 15:00 Ruvu Stars Kagera Sugar

20.10. 15:00 Simba Mbao

Round 12
 
Ndiyo Mkuu.. Tumefungwa magoli 4 tu [ila kiuhalisia ni matatu.. na hii ni baada ya kutoa goli hewa la Tambwe]
Kumbukumbu zangu zinaonyesha hadi sasa Simba imefungwa magoli matatu tu, likiwemo lile goli hewa la Tambwe.

Angalia msimamo kabla ya mechi za leo
#

Team MP W D L F A D P Last 5 matches
1 Simba 8 6 2 0 15 3 +12 20 W D W W W
2 Stand United 9 5 4 0 9 3 +6 19 W D W W W
3
delta_plus.gif
Young Africans 7 4 2 1 12 3 +9 14 W D L W W
4
delta_min.gif
Mtibwa Sugar 9 4 2 3 9 9 +0 14 L D W D W
5
delta_plus.gif
Kagera Sugar 9 3 4 2 4 4 +0 13 W L D W L
6
delta_plus.gif
Mbao 10 3 3 4 12 12 +0 12 W L D W D
7
delta_min.gif
Mbeya City 9 3 3 3 7 7 +0 12 L D W L D
8
delta_min.gif
Azam 8 3 2 3 10 8 +2 11 L D L L W
9
delta_min.gif
Tanzania Prisons 8 2 5 1 3 2 +1 11 D D D D W
10
delta_min.gif
Ndanda 9 3 2 4 7 10 -3 11 L W L W W
11Ruvu Shooting 7 2 3 2 7 9 -2 9 D D L W L
12
delta_plus.gif
African Lyon 9 2 3 4 5 10 -5 9 L W L L D
13 Ruvu Stars 8 1 5 2 3 3 +0 8 D D D W L
14
delta_plus.gif
Mwadui 8 2 2 4 5 7 -2 8 W L D L D
15
delta_min.gif
Toto Africans 9 2 2 5 4 7 -3 8 L W L D D
16 Maji Maji 9 1 0 8 3 18 -15
 
Simba ni wa kawaida sana kuliko tambo zao

Na Ndiyomaana Akawa Anararuwa Kila Anayemkuta Mbele Yake Kwasababu ni Wa Kawaida Katika Kupata Ushindi..
Na fahamu wazi Kuwa Simba Msimu Huu Hawana Kawaida Ya Kukosa Ushindi..
 
Hivi hamna utaratibu wa simba apewe kombe lake tu izi gharama zipelekwe uko kwenye wahanga mana hamna namna
 
Mavugo ana tatizo la kisaikolojia.Wamtafute mtu wakumtuliza akili ili atulie.Leo amecheza kwa hofu na mawazo mengi,ajiamini siyo yeye anapata nafasi na kumpasia kipa.
 
unadhani hili ni kombe la bonanza?watu hawabishani na nyie sa hivi kuogopwa kutupiwa viti
Mmesahau kuwa hata nyie mlingoa viti na picha zipo huku humu JF na je umesahau kuwa mlingoa viti siku mlipocheza na TP Mazembe? mmesahau kuwa mlimpiga Ezael Mkongo kwenye mechi yenu zidi ya Azam FC? usiandike kama umekatwa kichwa utaumbuka...
 
hapo ulipokaa hakuna kiti?
 
Tumeahidi kufanya kufuru kwenye mechi ya toto .Tunataka Toto akapigwe gol 5 bila
 
Kadi Tatu za Njano za Kizembe zote, zitagharimu sana mbeleni, tukumbuke tunatumia nguvu kubwa sana kwa sasa hali inayohatarisha maejruhi mbeleni sasa na hili la kadi za kizembe litatuoa kwenye RELI, Juuko kamryukia Mrwanda Kizembe, Muzamiru naye kacheza faulo ya kitoto Mwanjali naye kajitakia kadi ya njao..............sina orodha kamili ya idadi ya njano zao lakini natoa angalizo

Kadhalika tumecheza kawaida sana japo tunashukuru ushindi, walau Mavugo ana japo Kontrol lakini Blagnon ni godoro
 
Back
Top Bottom