Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Simba kumbukeni kua stand utd tunawasubiri mjilete kambarage tuwafumue kamoja tu.
sijui umri wake ila kikwazo kingine ni umbo la mwili wake..Anafuata nyayo za Mbwana Samatta, hatakawia kwenda zake Ughaibuni maana hapa bongo hakuna beki wa kumzuia...
Umbo lake halina tofauti na Sterling, Chicharito nksijui umri wake ila kikwazo kingine ni umbo la mwili wake..
umri vipi?Umbo lake halina tofauti na Sterling, Chicharito nk
Anahitaji wakala mzuri na fitness ya kutenga.
Mapema ndo jua limetoka pana kipando kirefu
all the best mnyama
Tambwe anajioendekeza kama utamsoma tangu lile goli la mk ni kama anajisika vibaya SANA
Na litamtesa sanaTambwe anajioendekeza kama utamsoma tangu lile goli la mk ni kama anajisika vibaya SANA
NILIBAHATIKA KUMUONA ILE MECHI NA MTIBWA hakua uwanjani kabisa kisaikolojiaNa litamtesa sana