Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Simba kumbukeni kua stand utd tunawasubiri mjilete kambarage tuwafumue kamoja tu.
Sidhani Kama Stand Yenu Chakavu ina sifa Ya Kulisimamisha Basi la Wekundu Wa Msimbazi ambalo linakanyaga Kila Linayemkuta Mbele Yake!!..