Alphonce Makoye
New Member
- Sep 27, 2016
- 3
- 9
Kagera Sugar leo ni wageni wa Simba...
MATOKEO:
Magoli ya Mzamiru Yassin na Shiza Kichuya yaipa Simba ushindi wa 2-0 dhidi ya Kagera Sugar jioni hii katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar.