Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
kwa ustaarabu huu nna uhakika wewe hukuvunja viti,huu ndo unaitwa uanamichezo,sio hao vichaa wengine wanakuja na porojo wakianza kupigwa wanailaumu yanga.Kadi Tatu za Njano za Kizembe zote, zitagharimu sana mbeleni, tukumbuke tunatumia nguvu kubwa sana kwa sasa hali inayohatarisha maejruhi mbeleni sasa na hili la kadi za kizembe litatuoa kwenye RELI, Juuko kamryukia Mrwanda Kizembe, Muzamiru naye kacheza faulo ya kitoto Mwanjali naye kajitakia kadi ya njao..............sina orodha kamili ya idadi ya njano zao lakini natoa angalizo
Kadhalika tumecheza kawaida sana japo tunashukuru ushindi, walau Mavugo ana japo Kontrol lakini Blagnon ni godoro