Simba ni tanuru, linapika wachezaji wanaiva kama dhahabu.
Okay......team gani wewe
Simba ni tanuru, linapika wachezaji wanaiva kama dhahabu.
Ah Kiongozi, Upo?
Nikupe Kamba ujinyonge....?
shemkwe karibu kijiweni...
tehe tehe teheeeeee mbona hawawezi wepesi kama pambaTambo za Yanga kurudisha 5-0 kwa Simba zimeyeyuka.
Okwiiiiiiiii okwiiiiiiiiiii okwiiiiiiiiiiiiiiii okwiiiiiiiiiiiiiiiii...............simba inaongoza kwa bao moja mbele
embu tulia kijana.
Mwingizeni Okwi akadake.