Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Okwiiiiiiiii okwiiiiiiiiiii okwiiiiiiiiiiiiiiii okwiiiiiiiiiiiiiiiii...............simba inaongoza kwa bao moja mbele
 
Simba wanafanya sub...

Anatoka Said Hamis anaingia Rama Singano..
 
Huyu kijana wangu leo hayuko vizuri, pumzika Ndemla utatufanyia kazi kwenye ligi.
 
Hakika hii X-Mass ya mwaka huu ni Kabambe sana....Simba mmetupa raha mashabiki...
 
.........mpaka sasa hivi mpira unaochezwa na Simba ni wa hali ya juu sana, pasi za chini chini na zinazoeleweka tunaziona, Yanga mpaka sasa wanategemea mipira mirefu inayoelekezwa kwa Ngassa.
 
Huyu Hery Joseph anajitahidi sana.
 
Back
Top Bottom