Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Safi sana!tunawafunga yanga na Rage tunamfukuza
 
wachezaji wa Yanga wanatumia ujanjaujanja kwa kujidondosha kitu ambacho kinapunguza kasi ya mpira lakini kinaweza kuwa hatari kwa Simba.
 
Hii Weekend inaweza kuniendea vibaya.!!
 
Ndala wamepoa utafikiri wamesusiwa kwenda chooni.
 
naona hawa wazee wa jangwan wanafundishwa how to play futbol!
 
wachezaji wa Yanga wanatumia ujanjaujanja kwa kujidondosha kitu ambacho kinapunguza kasi ya mpira lakini kinaweza kuwa hatari kwa Simba.
Wanatafuta ushindi wa mezani hao. Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…