Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ashabikie timu gani zaidi ya Yanga...
hawa wachezaji ni mwendo wa Viduku tu
Hiyo tena wewe haikuhusu. SimbaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhHivi mkishinda hadi mwisho, Rage si ataonekana lulu!
Jipe matumaini.Naona Kipofu Katangulia Majaanga! Atafika Kweli!
twapita huku pia.
umeona eeeeh baadae watasema kaseja bado ni simba hahahaaaaaaWanavichekesho hao...!!!
naona hawa wazee wa jangwan wanafundishwa how to play futbol!
Chocs match ka hii huwa naamia pande hizi..........
Ukiwa mtu wa soka kweli kweli ndio unaeza kukumbuka vitu kama hiviUmmit Davala alinyoa kiduku mwaka 2002...
Wanatafuta ushindi wa mezani hao. Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhwachezaji wa Yanga wanatumia ujanjaujanja kwa kujidondosha kitu ambacho kinapunguza kasi ya mpira lakini kinaweza kuwa hatari kwa Simba.
Safi sana!tunawafunga yanga na Rage tunamfukuza