Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Naona Kipofu Anaongoza Mwitu, Leo Majanga Hafiki Popote Mabwepande Sumu Ya Game!
 
kheee hivi hawa yanga mbwembwe zote zile mbona timu kama crystal palace...
 
Team- Together each achieves more.
Go go Simba,no matter what...Singanoo...what...penaat!
 
Hapana Mkuu, ni mpira tu. Baada ya Simba kupata bao, Yanga tumepotea kabisa.
Tatizo nyinyi Mpira wenu upo mdomoni wakati Mnyama anafanya kweli. R I P KITOABU wenzako tunafaidi huku. Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh
 
Ni penati dhahiri kabisa ile...

David Luhende anamchezea vibaya Rama Singano...
 
Huyu Luhende vipi, anacheza faulo za kijinga.
 
Nilitaja wachezaji watakaotupa ushindi na miongoni mwao nilimtaja Luhende.
 
Back
Top Bottom