angalia wajanja wasimtafune kama hana pesa..Me simba Mke wangu Yangu. Timu itakayofungwa itagharamia chakula home mwezi mzima. Yelewiiii.. Mama watoto kabuuugi
Tatizo nyinyi Mpira wenu upo mdomoni wakati Mnyama anafanya kweli. R I P KITOABU wenzako tunafaidi huku. SimbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhHapana Mkuu, ni mpira tu. Baada ya Simba kupata bao, Yanga tumepotea kabisa.
Ah Kiongozi, Upo?
Ni penati dhahiri kabisa ile...
David Luhende anamchezea vibaya Rama Singano...
Kumbe unashangilia simba kibisa?
Pole...
la pili..Tatizo nyinyi Mpira wenu upo mdomoni wakati Mnyama anafanya kweli. R I P KITOABU wenzako tunafaidi huku. Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh