Nebuchadnezzar
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 212
- 90
HT: Ngoja turudi, tufanye vitu vyetu.
Simba timu, funga Yanga 6-0.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HT: Ngoja turudi, tufanye vitu vyetu.
Oyah umesema unakaaa kinondoni gani?Nmeshagaili hapa na bet na housegirl wetu
Yanga wanatwangana makonde
Nmeshagaili hapa na bet na housegirl wetu
hii yanga leo sijaona wanachofanya, kuanzia nyuma hadi mbele, sijui wachezaji walilala wapi..
Sasa upo upande upi mtani
Leo yanga asiposhinda naachana na mama watoto ,
Mbona unatetereka katika viapo vyako? Usihofu, kama Simba walisawazisha mabao matatu, kwa nini Yanga wasiweze kusawazisha na kuongeza la tatu!Nmeshagaili hapa na bet na housegirl wetu
Duh leo full stress
ht: Ngoja turudi, tufanye vitu vyetu.
Ombi...jaman pale pa mke wangu wekeni nam bet housegirl wetu
Yule aliesababisha Penalty asipewe tena Namba.
Mkuu basii utapasua mbavu zangu.Simba 2-0 Yanga, loo wametuweza.
Simba yatoshaaaaa!!!
Nimeshagaili,nitakupa housegirl wangu,Baba mkwe ananitegeaHewalaaaa....ngoja nipande ndinga kuja hapo fasta!!!