Wachezaji wa Tanzania hawana kasi...au labda wamechoka 2nd HALF....sioni dalili za YAnga kurudisha. CHANONGO kajeruhhiwa amebebwa anatolewa nje dk ya 55
Shehe Yahya.dk 75,79,87 hizo zitashuhudia magoli matatu ya yanga
Yale yale ya mechi iliyopita kwa wenzaoSimba wanaanza kujisahau sasa
Droo itoke wapi?
naona umeenda ng'ambo umeicha Yanga haya bana,ila jipe moyo
Yanga wanafanya sub..
Anatoka Nadir Haroub anaingia Juma Abdul
Twite anaenda kati, Abdul anaenda kulia..
Simba wanaanza kujisahau sasa
Dakika ya 55
Simba 2-0 Yanga
Bora tutoke hata droo, kupunguza machungu.!
Droo ya kabati au ile inayo shindanishwaga kwenye Vodacom?
Pole yako.Mimi ntaka matokeo ya mwisho tu nione Simba wameshinda ila kuangalia sitaki. Nina presha.
Hawa Simba wanajidondosha dondosha
Wachezaji wa Yanga wanapiga sana viatu.
Too bad.........
Droo itoke wapi?
Tatizo watani wanacheza mpira kwenye vyombo vya habari
Hawa simba lazima watakua wametuloga tu,sio bure
Labda anazungumzia Droo ya kabati huyo. Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hhhhhhhhhhhDroo itoke wapi?