Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Simba wanafanya sub...

anatoka Chanongo na

anaingia Uhuru Suleiman
 
naona umeenda ng'ambo umeicha Yanga haya bana,ila jipe moyo

Mkuu bora ng'ambo kuliko hii Misukule!

Miaka nenda miaka rudi soccer la Hizi timu kubwa Bado ni butu tu tena wanacheza km Hawana afya! Utozi tu!
 
Yanga wanafanya sub..

Anatoka Nadir Haroub anaingia Juma Abdul

Twite anaenda kati, Abdul anaenda kulia..

Simba wanaanza kujisahau sasa

Dakika ya 55

Simba 2-0 Yanga

Mbuyu Twitte kati pale mmmh
 
Tambwe anatoka, anaingia Kiemba

Dakika ya 60

Simba 2-0 Yanga
 
Tambwe Nje...Kiemba ndani...thanks Tambwe kwa goli 2
 
Back
Top Bottom