Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

bin kleb leo aseme atamsajil nan hapo leo
 
Hivi huyu kocha wa Simba nasikia alikuwa anaifundisha Barca eeeh!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Matokeo ingekuwa ni moja bila tungehuzunika lakini tatu bila, ni raha tupu.
 
Really...!
Au Kisa simba inaikimbiza timu ya vyombo vya habari,kina Kivuyo...

Ulizia historia ya timu hizi kwa wazee wa zamani sio kwa akina Hemed Kivuyo.... Kwa taarifa yako, huu mpira unaouangalia leo,umechezwa jana usiku huko Kilwa Pande, hapo mnaangalia recorded!
 
Yanga leo cjui vipi?
Timu iko hovyo mkuu...

Thank God ni friendly match...Ingekuwa ligi wangepoteza point 3 na fedheha juu...

Yanga wanafanya sub...

Anatoka Luhende anaingia Oscar Joshua..
 
Hivi hii match haina mwisho wa sub? Naona Yanga wanamuingiza Oscar tena! Sub ya ngapi hii?
Dk 35

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hawa Simba wanavyokaza kama wanacheza fainali.
 
Back
Top Bottom