inasaidia tena sana,hayo yako ni maneno ya mfa maji tu!
Nasema ukweli,mpira wa simba na yanga umejaa ushirikina tu! Hakuna ujuzi wala nini!
Really...!
Au Kisa simba inaikimbiza timu ya vyombo vya habari,kina Kivuyo...
Timu iko hovyo mkuu...Yanga leo cjui vipi?
la nne bado?
Pole yako.jangwani mkuu!!
Kurudi au kujirudia? Mzee usitusababishie matatizo ya afya, wengine hatuoni mechi hapa!
Hapa tano tazime zifike
bin kleb leo aseme atamsajil nan hapo leo
usije kushangaa unaambiwa kuwa leo HEMEDI KIVUYO ameanza likizoReally...!
Au Kisa simba inaikimbiza timu ya vyombo vya habari,kina Kivuyo...
Hii timu iliyocheza leo sio Simba..