Magoli yanarudi yote! Bado dk 2
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Full shangweee! Nani anataka wain!!? Beer je? Nyoosha mkono! Simba nouma! Maskn yanga ndo kwanza chakufutia machozi kabao kamo!!
Ha ha haaaaa! Munkari, nipatie ka mountain dew nijipongeze!unajidanganyaaaa!
Magoli yanarudi yote! Bado dk 2
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Naam, amewafuta mafua.Okwi anawafuta machozi.
Wapigwe
Mimi ntaka matokeo ya mwisho tu nione Simba wameshinda ila kuangalia sitaki. Nina presha.