Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Wapigwe tu maana tumechoka
Ukifanya na Simba Sports Club utapigwa tu
 
Hivi bado dakika ngapi maana star TV hata hawaonyeshi muda.
 
Kuna mzee kakaa site ya golini kwa simba ,okwi akiwa anakuja tu na mpira huwa anabana na mkono hapa katikati ya mapaja(p-u--..m..b-__u) mpira.ukipigwa tu umeruka juu hata akilenga gorini
 
Kama ambavyo watambaji walisema, ukiona ndala moja ya njano na suruali ya kijani ikiwa imechanwa vipande vipande...bila shaka tambua kwamba Mnyama Simba amepita mtaa wa jangwani na kupata kitoweo. Swali lililosumbua vichwa vya wengi mwaka 2013 nimepata taarifa kwamba limepata jibu.Nani mtani jembe? Mitaa ya msimbazi kila mtani ananukia harufu ya nyama sijui kiumbe gani kaliwa jamani...Nani Mtani Jembe?
 
Back
Top Bottom