Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,462
Huyu Yondani, Canavaro na Kaseja ---------- kabisa. Hata Bin Kleb nina wasiwasi naye, tangu lini waarabu na wahindi wakawa washabiki wa Yanga?
Mmeanza ushabiki maandazi wenu sasa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Yondani, Canavaro na Kaseja ---------- kabisa. Hata Bin Kleb nina wasiwasi naye, tangu lini waarabu na wahindi wakawa washabiki wa Yanga?
Nani wanaichana?Jezi ya Yondani inachanwa chanwa!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
kama ile Penati ni uzembe kabisa wa Beki, huyu Kaseja ningekuwa karibu ningemchapa kofi.Goli mbili zilizofungwa zakujitakia
Simba mmejitahidi kuloga
Kaseja Bora Hata ASWILE, Jembe Lile