Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

STAR TV wametangaza wataonesha mpira LIVE kutoka Uwanja wa Taifa.
 
Star Tv wameanza matangazo ya mechi ya leo.
 
Juma Kaseja kaanzishwa kwa Upande wa Yanga.
Ivo Mapunda kwa upande wa Simba.
 
Leo mpaka Henry Joseph kapata Namba Simba.
 
Haka ka Nokia Asha 311 kanasumbua sana, nimejaribu mpaka kuweka ktk hali ya Desktop lakini bado. Mashabiki wa Simba wanashangilia basi tu ila matokeo wanayo moyoni mwao.
pole mkuu, ila yote kwa yote, kipigo cha leo simba kitaanzisha historia mpya msimbazi.
 
...kama wewe ni mwanasoka' huyu ni nani?
 
Star Tv wameanza matangazo ya mechi ya leo.
yap, namuona kocha wangu mziray akiwa studio.
kocha alinifundsha daraja la tatu enzi hizo, luhende pia kapitia katika mikono yake huyo kocha.
 

Star tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…