Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

MPIGWE tu yanga mpigwee tuuuuuuu! Na mikadi myekundu juuu! Hahahaha! Yanga hovyooooo!
kuwa makini sana na kauli zako hizi za maudhi. nilikuwa nakuheshimu sana kumbe hovyoo kiasi hiki!!mshenzi kabisa wewee tena NYAU MKUBWA WEWE. Hujui tu inavyouma ngoja siku yakukute.
 
SIMBA NDIO MTANI JEMBE - TAMBWE APIGA 2 MNYAMA AKIWAUA YANGA 3-1

kuwa makini sana na kauli zako hizi za maudhi. nilikuwa nakuheshimu sana kumbe hovyoo kiasi hiki!!mshenzi kabisa wewee tena NYAU MKUBWA WEWE. Hujui tu inavyouma ngoja siku yakukute.

Hasira za nini kaka!!!

Hili jukwaa watu wote ni wastaarabu na waungwana, mbona mimi ni Yanga damu lakini sijaona sababu ya kumwaga mitusi!!!
 
Yanga leo uchungu sana kama hawa jamaa
(David Mathayo,Emmanuel Nchimbi,Shamsi Nahodha) Lakini ndiyo mpira huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…