miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Heeee......kuzimia tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpwa naamini haya matokeo hayatavuruga undugu wetu. Mi jembe, we panga. Sote tunalima.
Hahahaah! Shemeji halafu shostito wako huku huwa hapiti, ana presha yule. c.c: Husninyo.
kuwa makini sana na kauli zako hizi za maudhi. nilikuwa nakuheshimu sana kumbe hovyoo kiasi hiki!!mshenzi kabisa wewee tena NYAU MKUBWA WEWE. Hujui tu inavyouma ngoja siku yakukute.MPIGWE tu yanga mpigwee tuuuuuuu! Na mikadi myekundu juuu! Hahahaha! Yanga hovyooooo!
Aiseee...nimekutamani ghafla
Mashabiki wake ndio wanywaji zaidi wa kilimanjaro.Hivi huu mgawanyo wa kuzibua vizibo upoje? YANGA anapataje milioni 98
Pole sana. Pumzika kama ulivyoomba!mpira haujaisha mkuu.., ingawa leo ni kama "sio sisi", naamin vijana wanaweza kurudi kivingine kama wakiamua.
Huyu jamaa sijui Ana hali gani leo??
maneno tu ya Simba, hakuna MwanaJF aliezimia. Kwani kavaa Tshirt lililoandikwa JF?Kuna Mwana Jf Amezima Taifa Atakuwa Nani?
tupo kwenye sports huku..sio MMU! ila haki yako, ntakutumia namba yake ya simu PM
kuwa makini sana na kauli zako hizi za maudhi. nilikuwa nakuheshimu sana kumbe hovyoo kiasi hiki!!mshenzi kabisa wewee tena NYAU MKUBWA WEWE. Hujui tu inavyouma ngoja siku yakukute.
kuwa makini sana na kauli zako hizi za maudhi. nilikuwa nakuheshimu sana kumbe hovyoo kiasi hiki!!mshenzi kabisa wewee tena NYAU MKUBWA WEWE. Hujui tu inavyouma ngoja siku yakukute.
kiswahili nacho miss strong kutinduliwa ndio nini?hahahaaaaaaaaDefence ya yanga hovyo km wametinduliwa
Pole sana. Pumzika kama ulivyoomba!
:second:
maneno tu ya Simba, hakuna MwanaJF aliezimia. Kwani kavaa Tshirt lililoandikwa JF?