Pole sana. Pumzika kama ulivyoomba!
:second:
Bado na sitaki liingie maana nna kaz zakuzirudisha
Pole sana. Pumzika kama ulivyoomba!
:second:
Nikajua wewe......I hope uko safe
usione bado nipo haja Jf, nimechefuka vibaya sanaaaa. Yule beki aliesababisha Penati na yule mpuuzi Kaseja kama wangekuwa karibu ningewanasa makofi na namba wasingepata kwenye kikosi cha kwanza.Nikajua wewe......I hope uko safe
Leo hakuna Unyumba.tulivyofungwa leo vinanitosha
Pole sana. Pumzika kama ulivyoomba!
:second:
Hasira za nini kaka!!!
Hili jukwaa watu wote ni wastaarabu na waungwana, mbona mimi ni Yanga damu lakini sijaona sababu ya kumwaga mitusi!!!
kudadaadeki nini hiki tena
Mpwa hii ni mechi ya ujirani mwema tu haina mbaya...
Pole sana mammy kwa mara nyingine tena
Kiukweli nilijua leo hatuchomoki kwa Yanga! Haya matokeo ni bonge la habari njema!!!!!!!πoaπoaπoaπoaπoaπoaπoa