Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Nikajua wewe......I hope uko safe
usione bado nipo haja Jf, nimechefuka vibaya sanaaaa. Yule beki aliesababisha Penati na yule mpuuzi Kaseja kama wangekuwa karibu ningewanasa makofi na namba wasingepata kwenye kikosi cha kwanza.
 
images
 
Kiukweli nilijua leo hatuchomoki kwa Yanga! Haya matokeo ni bonge la habari njema!!!!!!!😛oa😛oa😛oa😛oa😛oa😛oa😛oa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yani utamu unakuja yani!!!!!!!!!! utamu unakata aaaaaaaaah mnyama mbona wanipa raha!!
 
Mods mpunguzieni adhabu ACCOUNT FULL kutoka wiki moja hadi siku 3 kwani tutammiss kwenye jukwaa hili.
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli nilijua leo hatuchomoki kwa Yanga! Haya matokeo ni bonge la habari njema!!!!!!!😛oa😛oa😛oa😛oa😛oa😛oa😛oa

Wewe baba wewe mnyama habahatishi bwana we si umeona sasa!
 
HAYA YANGA NENDENI KAMSAJILINI NA MESSI WA SIMBA MAANA SIMBA ISHAKUWA CHUO YANGA MNAKUJA KUJIFUNZA NA KUIBA GRADUATES .. SIMBA NI SIMBA KAMWE HAJITAMBULISHI ,AKIUNGURUMA UNAJUA HUYU NI SIMBA SIO paka .!!
 
Back
Top Bottom