Mkuu Invisible
Sana huyo akapumzike !
mzima?
JAMANI NASHUKURU leo nimefurahi xana kwani SIMBA kaonyexha ubabe wa nani mtan jembe kwa mabao 3-0 dhidi ya mahasimu wao YANGA
Kumbe ndo maana. Nazima simu. Usinitafute.
Kaseja f.u.c.k u.Mchawi,mwanga mshirikina umetuletea mikosi jangwani.Rudi kwenu.Pambav
Sasa atacheza pekeake uwanja mzima chezea mnyaaaamaKwani Okwi hachezi? ha haaaaa
Ingekuwa ya ligi kingesanuka?? Tusifike huko mpwa. mida hii Okwi na Amis Tambwe wako sehemu wanatongoza dada zetu.
Nimekusoma mkuu.Pole pole mkuu
HAYA YANGA NENDENI KAMSAJILINI NA MESSI WA SIMBA MAANA SIMBA ISHAKUWA CHUO YANGA MNAKUJA KUJIFUNZA NA KUIBA GRADUATES .. SIMBA NI SIMBA KAMWE HAJITAMBULISHI ,AKIUNGURUMA UNAJUA HUYU NI SIMBA SIO paka .!!
Nimekusoma mkuu.
Moyo ndio Hupenda...Hisia ni kutamani!!we ishia hapo hapo.............
usione bado nipo haja Jf, nimechefuka vibaya sanaaaa. Yule beki aliesababisha Penati na yule mpuuzi Kaseja kama wangekuwa karibu ningewanasa makofi na namba wasingepata kwenye kikosi cha kwanza.
Okwiiiiiiii!
Kala Ban ya wiki moja...hivi viapo vingine ni Bure kabisa!!!invisible kafanya kweli kwa ACCOUNT FULL looh
Hahahaaa yaani we acha tu ila asante