Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

JAMANI NASHUKURU leo nimefurahi xana kwani SIMBA kaonyexha ubabe wa nani mtan jembe kwa mabao 3-0 dhidi ya mahasimu wao YANGA
 
Kaseja f.u.c.k u.Mchawi,mwanga mshirikina umetuletea mikosi jangwani.Rudi kwenu.Pambav
 
Ingekuwa ya ligi kingesanuka?? Tusifike huko mpwa. mida hii Okwi na Amis Tambwe wako sehemu wanatongoza dada zetu.

Hakiwezi kunuka mpwa maana sisi hatukukutana barabarani...
 
HAYA YANGA NENDENI KAMSAJILINI NA MESSI WA SIMBA MAANA SIMBA ISHAKUWA CHUO YANGA MNAKUJA KUJIFUNZA NA KUIBA GRADUATES .. SIMBA NI SIMBA KAMWE HAJITAMBULISHI ,AKIUNGURUMA UNAJUA HUYU NI SIMBA SIO paka .!!

Yaaaani weweeee, acha tu..Kweli SIMBA ni SIMBA hawezi kuwa nyau.

Hawatuwezi
 
usione bado nipo haja Jf, nimechefuka vibaya sanaaaa. Yule beki aliesababisha Penati na yule mpuuzi Kaseja kama wangekuwa karibu ningewanasa makofi na namba wasingepata kwenye kikosi cha kwanza.

Calm down mkuu ndo mambo ya mpira hayo....
 
Back
Top Bottom