Mkuu hiyo ni adhabu yake mwenyewe, nilimwambia tutashinda mbili bila yeye akawa amejiamini kupita kiasi hadi akajiapiza kupewa ban, nikamweleza na wachezaji watakaoharibu, nilitaja Kaseja, Chuji, Cannavaro, Domayo na Luhende na ukiangalia magoli yote hao jamaa wamehusika, goli la kwanza ilikuwa ni incomplete pass aliyopiga Chuji kwenda kwa Domayo, Mkude akaintercept, goli la pili Cannavaro na Luhende walishindwa kufanya coverage wakati Singano anadrible matokeo yake wakamwangusha na goli la tatu ni udhaifu wa Kaseja.adhabu yake mpe Masuke au Amavubi.
Leo hakuna Unyumba.tulivyofungwa leo vinanitosha
Hahahahaha!! Mpe tu ujiliwaze. Mi nimemzuia wangu asije, maana kashinda leo sasa kanipigia simu anataka aje anipe mgegedo usiku kucha kukamilisha furaha yake. Nimemwambia usije (serious) Jogoo nataka alale tu kuomboleza. Tusubiri kelele zao sasa, zitaanza kupungua labda January 20 huko, wakishinda huwa inakuwa tabu kubwa.
Ha ha ha haa...yaani umenichekesha sana.
Mwambie tu aje ujifariji hata kwa bao za wembley ndogo ya bedroom lol
Pole sana
Hapana mkuu, jogoo mwenyewe kanywea, ilipopulizwa filimbi ya kumaliza mpira jogoo akanipa tahadhari kwa kusema," Mwambie yule mtu wako sitaki kumuona leo maana kashinda na atataka kuja kunisumbua mwambie leo sipo tayari kwa hilo nataka kulala tu kuuguza maumivu". Mkuu naheshimu maamuzi ya jogoo wangu. Leo mapema ndani, sitaki kelele na jogoo keshatahadharisha toka mwanzo.Wacha nimpe heshima yake.
Kiukweli nilijua leo hatuchomoki kwa Yanga! Haya matokeo ni bonge la habari njema!!!!!!!😛oa😛oa😛oa😛oa😛oa😛oa😛oa
Kwake wapi Kigoma au Jangwani.Kaseja rudi kwenu.
Ha ha ha haaaaa yani nimcheka hadi machozi.
Kweli huyo jogoo wako bandidu haswaa, anamnyima tetea wake raha.
Tayari Kaseja kimeshanuka, mzee Akilimali anasema magoli yale katoa zawadi kwa Simba, pole Kaseja.
Hahahahaha!! Mpe tu ujiliwaze. Mi nimemzuia wangu asije, maana kashinda leo sasa kanipigia simu anataka aje anipe mgegedo usiku kucha kukamilisha furaha yake. Nimemwambia usije (serious) Jogoo nataka alale tu kuomboleza. Tusubiri kelele zao sasa, zitaanza kupungua labda January 20 huko, wakishinda huwa inakuwa tabu kubwa.
Yaaaani weweeee, acha tu..Kweli SIMBA ni SIMBA hawezi kuwa nyau.
Hawatuwezi
Hapa nipo ndani nahesabu mizunguko ya feni tu, simu imeita weeeee, namuuliza jogoo vp tumruhusu aje, jogoo kanijibu," mwache tu aite, usimjibu, mimi ndio mtendaji, ukinilazimisha kufanya ntakuadhibu" na kuthibitisha asemayo kaingia ndani kujificha kabisa. Hapa nipo kitandani Nimebaki kuhesabu mizunguko ya feni tu juu ya Dari, mwenzangu kapotelea maungoni kuthibitisha hataki chochote.
utakuwa simba wewe..
Ha ha ha ha haaaaaaa, kayanani hayo mahaba na YANGA too much mkuuu.
Punguza kidogoooo
haaa haaaa wana miaka mia nane ,, yebo bhana hadi raha ni kupigwa tu "wapigwe"