Mkuu hiyo ni adhabu yake mwenyewe, nilimwambia tutashinda mbili bila yeye akawa amejiamini kupita kiasi hadi akajiapiza kupewa ban, nikamweleza na wachezaji watakaoharibu, nilitaja Kaseja, Chuji, Cannavaro, Domayo na Luhende na ukiangalia magoli yote hao jamaa wamehusika, goli la kwanza ilikuwa ni incomplete pass aliyopiga Chuji kwenda kwa Domayo, Mkude akaintercept, goli la pili Cannavaro na Luhende walishindwa kufanya coverage wakati Singano anadrible matokeo yake wakamwangusha na goli la tatu ni udhaifu wa Kaseja.adhabu yake mpe Masuke au Amavubi.